WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Thursday 3 May 2012

New Joint

Mshindi wa Tuzo mbili za Kilimanjaro Ommy Dimpoz ambaye amesumbua kwa muda mrefu na Track Yake ya Nai Nai aliyomshirikisha Ally Kiba sasa amerudi tena akiwa na Track yake Mpya inayoitwa Baadae akiwa amesimama peke yake.

No comments:

Post a Comment